Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) linaendesha program ya kuongeza ujuzi katika baadhi ya nchi za Afrika, ikiwemo Tanzania, Rwanda, Uganda, Kenya, Eritri na Malawi. Read More
Katibu Mkuu, Wizara ya Fedha Dkt. Natu El-maamry Mwamba, amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Japan nchini Tanzania, Mhe. Yoichi Mikami, ilichofanyika jijini Dodoma. Read More
Mabalozi wa Serikali za Tanzania na Msumbiji wamefanya kikao cha ujirani mwema kilicholenga kudumisha uhusiano wa kiuchumi baina ya nchi hizo mbili. Read More
Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, amesema kuwa mapambano ya uhuru wa kiuchumi na ustawi wa kijamii katika nchi za Kusini mwa Afrika yanaendelea kwa kasi kubwa Read More
Jeshi la Korea Kusini Alhamisi lilidai kuwa Korea Kaskazini imetuma zaidi ya wanajeshi 1,000 wa ziada nchini Urusi mwaka huu katika kuendelea kuunga mkono vita vya Moscow dhidi ya Ukraine. Read More
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, amewasili nchini Namibia, akiongoza ujumbe wa CCM kwenye mazishi ya aliyekuwa Rais wa Kwanza wa Namibia na Baba wa Taifa hilo, Dkt. Sam Nujoma. Read More
Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Dkt. Seif Shekalaghe ameipongeza Mamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali kwa kazi kubwa ya kutekeleza majukumu yake kwa maslahi ya taifa. Read More