Utekelezaji wa Mkataba wa Eneo Huru la Biashara la Afrika (AfCFTA) nchini Tanzania umewezeshwa kwa kiasi kikubwa na uwekezaji katika miundombinu muhimu. Read More
Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, amezihimiza nchi za Afrika kuwekeza kwenye uzalishaji wa nishati ya uhakika na yenye gharama nafuu Read More
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameeleza serikali ipo mbioni kutangaza zabuni ya ujenzi wa daraja la Mzinga ili kupunguza msongamano wa magari barabara inayounganisha Dar es Salaam na Kilwa. Read More
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini imeeleza kuridhishwa kwake na majukumu yanayotekelezwa na Wizara ya Nishati na Taasisi zilizo chini yake katika kuiimarisha Sekta ya Nishati nchini. Read More
Geita kumpokea rasmi mkandarasi, kampuni kutoka China, iliyoshinda kandarasi ya Mradi wa Kusambaza Umeme kwenye vitongoji 105 vya majimbo saba (7) ya mkoa humo. Read More