Serikali kupitia Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) imepongezwa kwa ujenzi wa mradi wa Kituo mama cha gesi iliyoshindiliwa yaani Compressed Natural Gas (CNG) na Vituo vidogo viwili vya kupokea na kuhifadhi CNG kwa wateja wa awali. Read More
Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete azungumza na watumishi na wadau wa Mahakama ya Tanzania wakati akizindua Maadhimisho ya Wiki ya Sheria yaliyoanza leo Jijini Dodoma. Read More
Mkuu wa Mkoa wa Manyara Mhe. Queen Sendiga azindua maadhimisho ya Wiki ya Sheria yaliyoanza Januari 25, yanatarajia kumalizika Februari 3, 2025 katika viwanja vya stendi ya zamani mjini Babati, Manyara. Read More
Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB), Dkt. Akinwumi Adesina, amewasili nchini kwa ajili ya kuhudhuria Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika kuhusu Nishati, utakaofanyika jijini Dar es Salaam. Read More
Rais wa Jamhuri ya Muunganio wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Dkt Samia Suluhu Hassan, leo tarehe 18 Januari 2025 amefungua Mkutano Mkuu Maalumu wa Chama Cha Mapinduzi CCM Taifa, leo tarehe 18 Januari, 2025. Read More