Waziri Mkuu Kassim Majaliw amekutana na Balozi wa Belarus nchini Tanzania Pavel Vziatkin, katika Ofisi ndogo ya Waziri Mkuu, Magogoni jijini Dar es salaam. Read More
Utekelezaji wa Mkataba wa Eneo Huru la Biashara la Afrika (AfCFTA) nchini Tanzania umewezeshwa kwa kiasi kikubwa na uwekezaji katika miundombinu muhimu. Read More
Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, amezihimiza nchi za Afrika kuwekeza kwenye uzalishaji wa nishati ya uhakika na yenye gharama nafuu Read More
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameeleza serikali ipo mbioni kutangaza zabuni ya ujenzi wa daraja la Mzinga ili kupunguza msongamano wa magari barabara inayounganisha Dar es Salaam na Kilwa. Read More
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Maliasili na Utalii kupitia taasisi zake ya Makumbusho ya Taifa, Chuo Cha Taifa Cha Utalii na Bodi ya Utalii kwa kazi nzuri ya maboresho makubwa yanayofanyika. Read More
Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba Madelu (Mb), ameshiriki Mkutano wa Mawaziri wa Fedha na Magavana wa Benki Kuu za nchi za Afrika Read More