Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Bw. Kailima Ramadhani akizungumza na washiriki wa mafunzo ya waandishi wasaidizi na waendesha vifaa vya Bayometriki (BVR) watakaohusika na zoezi la uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura kwenye Halmashauri ya Jiji la Dodoma, mkoani Dodoma Septemba 23,2024. Mzunguko wa tano wa uboreshaji wa... Read More
Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amechangia Millioni 100 kwaajili ya ukarabati wa bwalo la shule ya msingi ya Chief zulu na kuiagiza ofisi ya Halmashauri kuongezea Millioni Mia moja nyingine na kufikia lengo la Millioni 200 Hayo yamefanyika leo alipotembelea na kuzindua shule ya msingi ya mchepuo wa Kiingereza ya... Read More
MAHAKAMA ya Wilaya ya Kinondoni imempandisha kizimani mkazi wa Mabwe pande, Shembiu Shekilaghe(38) akikabiliwa na mashtaka ya kutoa taarifa za uongo na kujiwasilisha kama yeye ni Jakaya Mrisho Kikwete huku akijua sio kweli. Wakili wa Serikali, Salma Jafari alidai hayo hapo jana tarehe 23 Septemba, 2024 alipokuwa akimsomea mshtakiwa mashtaka yake mbele ya Hakimu Mkazi... Read More
Mjumbe wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Dkt Zakia Mohamed Abubakar leo ametembelea mafunzo ya Waandishi Wasaidizi na Waendesha Vifaa vya Bayometriki watakao husika na zoezi la Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura katika Halmashauri ya Singida Vijijini mkoani Singida na kuzungumza nao wakati wa mafunzo yao ya siku mbili yaliyoanza... Read More