Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiwasilisha ujumbe wa Tanzania kwa Wakuu wa Nchi na Serikali kwenye Mkutano wa ngazi ya juu wa Wakuu wa Nchi na Serikali ‘Summit of the Future’ uliofanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Umoja wa Mataifa New York nchini Marekani . *Apigia chapuo hifadhi ya mazingira, upatikanaji wa fedha na uhamishaji... Read More
Na Hamis Dambaya, NCAA Serikali imewapongeza wananchi wa tarafa ya Ngorongoro mkoani Arusha kwa kuendelea kudumisha umoja, amani na utulivu katika eneo hilo na hivyo kuendeleza falsafa ya R4 ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan ya kutaka wananchi wote kuishi kwa maelewano na maridhiano. Akizungumza mara baada ya... Read More
Tanzania imechaguliwa kuwa nchi ya kwanza na ya mfano katika utekelezaji wa mpango wa ushirikiano kati ya sekta binafsi na wakulima wadogo wa zao la kahawa. Read More