Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Tanzania September 7, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma Magazetini kenya. The post Habari kubwa Magazetini Kenya leo September 7, 2024 first appeared on Millard Ayo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi, pamoja na ujumbe wake, ametembelea Kiwanda cha INDESSO cha kusarifu majani ya mkarafuu na kutengeneza mafuta kwa matumizi mbalimbali kama vile dawa na manukato, kilichopo Cileungsi, Jakarta, Indonesia. Akiwa katika kiwanda hicho, Rais Dk. Mwinyi amejionea hatua mbalimbali za kusarifu majani... Read More
Na MWANDISHI WETU WADAU wa Utalii katika Hifadhi ya Taifa Serengeti wameiomba Serikali kupatia suluhisho la kudumu la ujenzi wa barabara katika Hifadhi za Taifa hususani barabara ya Serengeti Akizungumza leo na waandishi wa habari ambao wametembelea eneo hilo, Mkurugenzi wa Kampuni ya Utalii ya Wolway Trekking Tanzania Limited, John Macha alipongeza hatua zinazochukuliwa na... Read More