0 Comment
Meneja wa TIRA kanda ya kaskazini, Bahati Ogolla akizungumza kwenye semina hiyo katika shule ya sekondari Mringa mkoani Arusha . Walimu kutoka shule mbalimbali za sekondari halmashauri ya Arusha dc wakisikiliza mada mbalimbali kuhusu maswala ya bima. ……………… Happy Lazaro,Arusha . Arusha. Mamlaka ya Usimamizi wa Bima Tanzania (TIRA) kanda ya kaskazini imeanza kutoa mafunzo... Read More










