0 Comment
Taasisi ya Afrika ya Sayansi na Teknolojia ya Nelson Mandela imezindua Bodi ya Ushauri ya kimataifa ya NM-AIST ambayo imeundwa mahususi kwa lengo la kushauri Baraza la Taasisi, ili kufanya elimu ya Tanzania iwe ya Kimataifa hususani katika Nyanja za Sayansi ,Teknolojia na Ubunifu. Akizungumza kwa niaba ya Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia Prof.... Read More










