0 Comment
KAULI ya “mwenda pole ndiye mla nyama” inaendelea kuidhihirisha vyema falsafa ya uongozi wa Klabu ya Simba katika mikakati yao ya usajili wa dirisha dogo, wakilenga kuimarisha kikosi kwa utulivu na umakini mkubwa. Wakati baadhi ya timu tayari zimeanza kutambulisha silaha zao mpya hadharani, Simba wao wamechagua kufanya kazi kimya kimya, wakipima kila hatua kwa... Read More




