Na Mwandishi wetu, Simanjiro WAMILIKI wa migodi na wachimbaji wa madini ya Tanzanite wamepongezwa kwa namna wanavyosaidia jamii inayowazunguka ikiwemo shule ya sekondari ya kidato cha sita ya Naisinyai iliyopo Wilaya ya Simanjiro Mkoani Manyara. Mwakilishi wa afisa madini mkazi RMO Mirerani, Nelu Mwakalinga ambaye ni afisa mazingira ameyasema hayo kwenye mahafali ya 14 ya... Read More
Na Mwandishi wetu- Mpwapwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe.George Simbachawene (Mb) amesema maisha ya ndoa ni mazuri huku akimtaka Mwenezi wa Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Mpwapwa Ndg.Mgutho Thabit Mathew aliyefunga pingu ya maisha na Mke wake Bi. Herieth Kileo kuishi maisha yenye upendo na... Read More
>Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amesema kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan yuko tayari kuendelea kushirikiana na viongozi wa dini kwa ajili ya kujadiliana masuala mbalimbali kuhusu maendeleo na ustawi wa nchi. Read More
Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Exaud Kigahe (Mb) akiangalia bidhaa zinazozalishwa na wajasiriamali walionufaika na mafunzo yanayoendwa na SIDO kwenye viwanja vya maonesho ya ‘Tanzanite Manyara Trade Fair 2024’ (Stendi ya zamani ya mabasi-Babati) Oktoba 23, 2024 mkoani Manyara. …… Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Exaud Kigahe ametoa wito kwa... Read More
Mafunzo ya ufuatiliaji na tathmini yanayoendeshwa na Chuo Kikuu Huria cha Tanzania kwa watumishi wa mamlaka za serikali za mitaa pamoja tawala za mikoa yanatarajiwa kuimarisha usimamizi pamoja na ufuatiliaji wa maendeleo ya miradi inayowekezwa na serikali katika kupeleka shughuli za maendeleo kwa wananchi kwa kuwa watumishi katika idara hizo watakuwa wameimarika vyema. Rai... Read More
Mafunzo ya ufuatiliaji na tathmini yanayoendeshwa na Chuo Kikuu Huria cha Tanzania kwa watumishi wa mamlaka za serikali za mitaa pamoja tawala za mikoa yanatarajiwa kuimarisha usimamizi pamoja na ufuatiliaji wa maendeleo ya miradi inayowekezwa na serikali katika kupeleka shughuli za maendeleo kwa wananchi kwa kuwa watumishi katika idara hizo watakuwa wameimarika vyema. Rai hiyo... Read More