Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete ameongoza vikao vya bodi ya Shirika la Elimu la Kimataifa (GPE) leo Jijini Dubai, Umoja wa Falme za Kiarabu. Read More
Meneja wa shirika la umeme Tanzania TANESCO mkoa wa Rukwa Mhandisi Nyanda BUSUMABU wakati akizungumza na Wakandarasi. Mgeni rasmi katika kikao hicho ambaye ni Katibu Tawala wilaya ya Sumbawanga Gabriel Masinga wakati akizungumza na wakandarasi katika ukumbi wa mikutano wa Tanesco mkoa wa Rukwa. Baadhi ya wakandarasi waliohudhuria katika kikao kazi hicho. ………………… Na Neema... Read More
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi ya Wananchi wa Tanzania Jenerali Jacob John Mkunda kwa niaba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Dkt Samia Suluhu Hassan amewavisha nishani mbalimbali Majenerali, Maafisa na Askari wa JWTZ jijini Tanga tarehe 04 Disemba 2024. Nishani hizo ni pamoja na Nishani ya Kumbukumbu... Read More
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel (kulia) na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Rosemary Senyamule alipowasili kwenye Kituo cha Mikutano cha Jakaya Kikwete jijini Dodoma kufungua Kongamano la Kisayansi na Mkutano Mkuu wa 54 wa Chama cha Wafamasia Tanzania, Desemba 4, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)... Read More
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akizungumza jambo na Rais wa Marekani Mhe. Joe Biden kabla ya kuanza kwa Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Marekani, Kongo na Zambia kuhusu Ushoroba wa Lobito (Lobito Corridor), ambapo Tanzania ni mgeni mwalikwa katika Mkutano huo unaofanyika katika Mji wa Lobito... Read More
Mke wa Rais wa Zanzibar, Msarifu, na Mwenyekiti wa Bodi ya wadhamini ya Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation (ZMBF) Mhe. Mama Mariam Mwinyi amesema maradhi ya Saratani ni hatari na yanarejesha nyuma juhudi za jamii na uchumi hata kusababisha umasikini kwa jamii kutokana na gharama kubwa za matibabu yake kwa wagonjwa wengi kutokuwa na... Read More
RAIS Mstaafu Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa Mwenyekiti wa Bodi wa Shirika la Elimu la Kimataifa (GPE) ameongoza vikao vya bodi ya taasisi hiyo leo Jijini Dubai, Umoja wa Falme za Kiarabu. Vikao hivyo vimefunguliwa na Mhe. Reem Al Hashimy, Waziri wa Umoja wa Falme za Kiarabu anayeshughulikia Ushirikiano wa Kimataifa. Umoja wa Falme za... Read More
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitoa taarifa kuhusu Maadhimisho ya Miaka 63 ya Uhuru wa Tanzania Bara kwenye ukumbi wa Hazina jijini Dodoma, Desemba 4, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu *Aagiza mikoa iratibu ufanyaji wa shughuli za kijamii. WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema kuwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ameelekeza Maadhimisho ya Miaka 63 ya Uhuru... Read More
JESHI la Polisi Mkoa wa Mbeya linawashikilia watuhumiwa wawili kwa tuhuma za mauaji ya aliyekuwa Mwenyekiti wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi Tawi la Machinjioni Kata ya Bwawani Michael Andarson Kalinga [36] mkazi wa Makongolosi Wilayani Chunya kwa kumpiga na kitu butu kichwani. Katika taarifa iliyotolewa leo Desemba 04, 2024 na Kaimu Kamanda wa Polisi,... Read More
Happy Lazaro,Arusha . Arusha .MAMLAKA ya hifadhi ya Ngorongoro imezindua kampeni ya msimu wa sikukuu Ngorongoro “Merry and Wild Ngorongoro Awaits ” inayotarajiwa kuanza desemba leo hadi januari 4 ,2025 katika kuelekea msimu wa sikukuu za mwisho wa mwaka 2024. Aidha kampeni hiyo inaenda na kauli mbiu isemayo “Merry and Wild; Ngorongoro Awaits” ambapo katika... Read More