Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dotto Biteko, ameonesha umuhimu wa hifadhi ya jamii kwa wachimbaji wadogo alipokuwa akitembelea banda la Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) tarehe 5 Oktoba 2024, wakati wa Maonesho ya 7 ya Teknolojia ya Madini yanayoendelea Geita. Akiwa katika banda hilo, Mhe. Biteko alipokea maelezo kutoka... Read More
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewataka watumishi wa halmashauri nchini kuendelea kuweka mikakati ya kushirikisha sekta binafsi katika mipango ya kimaendeleo. Amesema kuwa kwa kufanya hivyo kutasaidia kuongeza wigo wa utoaji huduma kwa wananchi na uzalishaji wa bidhaa ikiwemo za kwenye sekta ya mifugo. Amesema hayo leo (Jumapili, Oktoba 06, 2024) wakati alipozungumza na watumishi wa... Read More
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi akizungumza na wananchi wa Lamadi, Wilaya ya Busega, Mkoa wa Simiyu, leo tarehe 6 Oktoba 2024, ikiwa ni siku ya kwanza ya ziara yake ya siku tatu mkoani humo. Balozi Nchimbi ambaye ameambatana na Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC), Itikadi,... Read More
Mjumbe wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Mahakama Kuu Asina Omar (kushoto) akiangalia namna Waandishi Wasaidizi na Waendesha Vifaa vya Bayometriki waliokuwa katika mafunzo wakifanya mazoezi ya uboreshaji kwa vitendo katika kituo cha Walimu Bububu, Wilaya ya Magharibi A Mkoa wa wa Mjini Magharibi, Zanzibar Oktoba 5, 2024. Zanzibar inaanza Uboreshaji... Read More
*Yashiriki Samia Kilimo Biashara Expo 2024 *Kugawa majiko 790 Wilaya ya Gairo *Yanatunza mazingira na rafiki kwa afya ya watumiaji Imeelezwa kuwa, Majiko Banifu yanayotolewa na Wakala wa Nishati Vijijini (REA) katika Maonesho ya Samia KILIMO Biashara Expo 2024 yanapatikana kwa gharama nafuu, yanatunza mazingira, yanadumu na rafiki kwa afya ya watumiaji. Hayo yamebainishwa leo... Read More