Na Mwandishi Wetu,Arusha RAIS Dk.Samia Suluhu Hassan amepongeza walimu 5000 wa shule za msingi na Sekondari Jijini Arusha kupatiwa mitungi ya gesi ya oryx na majiko yake kwa lengo la kuendelea kuunga mkono jitihada za Serikali za kuhamasisha matumizi ya nishati safi ya kupikia . Akizungumza kwa njia ya simu wakati wa hafla ya ugawaji... Read More
Chuo cha VETA ya Makete kimeshuhudia ongezeko kubwa la udahili wa wanafunzi katika kipindi cha miaka mitatu iliyopita, kutokana na kampeni maalum ya kuhamasisha wadau mbalimbali kufadhili wanafunzi wanaojiunga na mafunzo chuoni hapo. Taarifa hiyo imetolewa jana, tarehe 4 Oktoba 2024 na Mkuu wa Chuo cha VETA Makete, Elisha Nkuba kwa Mkurugenzi Mkuu wa... Read More
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikata utepe kuzindua Kampeni ya Uzazi ni Maisha, hafla hiyo iliyofanyika katika Viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar, na (kulia kwa Rais) Waziri wa Afya Zanzibar Mhe.Nassor Ahmed Mazrui na Naibu Waziri wa Afya Mhe.Hassan Khamis Hafidh (kushoto kwa Rais) Mwenyekiti wa Bodi... Read More
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Viongozi wa Taasisi za Kusafirisha Mahujaji wa Zanzibar, katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar leo 5-10-2024,katika Kikao cha kutathmini Hijja ya mwaka 1445 (Hijria) sawa na mwaka 2024, mkutano huo uliofanyika katika viwanja vya Ikulu Zanzibar leo 5-10-2024.(Picha na Ikulu)... Read More
MAKAMU Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Prof. William Anangisye, amewahimiza wahitimu wa chuo hicho kutokaa wanasubiri ajira za serikalini pekee, bali pia kuangalia fursa nyingine za kiuchumi kwa kutumia maarifa na ujuzi waliyojifunza. Akizungumza katika Mahafali ya 54 ya chuo hicho, Prof. Anangisye alisema elimu inawainua wahitimu na kuongeza thamani yao katika... Read More
WANANCHI wa vijiji pembezoni mwa Bwawa la Mkomazi hatimae kuona ndoto ya Hayati Mwalimu Julius Nyerere ya kutaka kujenga bwawa hilo la umwagiliaji sasa kutimizwa na Rais Dkt. Samia. Ameeleza hayo Waziri wa Kilimo, Mhe. Hussein Bashe (Mb) mbele ya wananchi hao Oktoba 5, 2024 wakati wa mkutano wa hadhara katika kijiji cha Mangamtindiro, Kata... Read More