Na Mwandishi Wetu WANUFAIKA wa Mfuko wa Maendeleo ya Jamii(TASAF) hususani wenye ulemavu wa aina mbalimbali wametoa shukrani kwa Mfuko huo kwa kubadilisha maisha yao kupitia fedha za ruzuku huku wakitoa rai kuwa mfuko huo kuangalia uwezekano wa kuendelea kuwasaidia zaidi sambamba na kumuomba Rais Samia Suluhu Hassan kuendelea kulisaidia kundi la watu wenye ulemavu.... Read More