Waziri wa Mambo ya Nje wa Israel alisema Jumatano (Oktoba 2, 2024) kwamba anamzuia Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres kuingia nchini humo kwa sababu “hajalaani bila shaka” shambulio la makombora la Iran dhidi ya Israel. Iran ilirusha zaidi ya makombora 180 ya balistiki dhidi ya Israel siku ya Jumanne (Oktoba 1, 2024)... Read More
Na Mwandishi Wetu WANAFUNZI 603 katika Shule ya Msingi Mbagala Kuu Jijini Dar es Salaam wamehitimu elimu ya msingi huku ujumbe mkubwa ukiwataka wanafunzi hao kutambua safari ya kıelimu ndio imeanza hivyo wajiandae na masomo ya Sekondari kwani Serikali imetoa fursa ya elimu bure. Hata hivyo katika risala mbalimbali ambazo zimetolewa katika Sherehe za Mahafali... Read More
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza ,Said Mtanda (katikati),leo akizungumza na waandishi wa habari,kuhusiana na mapokezi ya Mwenge wa Uhuru mkoani humu. … Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Said Mtanda, amewataka wananchi wa mkoa huo kujitokeza kwa wingi kuupokea Mwenge wa Uhuru unaotarajiwa kuwasili Oktoba 6, mwaka huu, ambapo umekuwa ukikimbizwa nchini kwa miaka 60, utapokelewa... Read More
Na Mwamvua Mwinyi, Pwani 2, Oktoba 2024 AJENDA ya kuleta Mapinduzi kwenye sekta ya Viwanda nchini, inazidi kushika kasi ambapo mkoa wa Pwani umejipambanua kuwa kinara kutekeleza ajenda hii kwa kuwa na viwanda 1,535 mwaka 2024 ,kutoka viwanda 396 mwaka 2016. Hatua hii inaacha alama katika kuinua sekta ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji mkoani humo... Read More
Chelsea wanafuata chaguzi kadhaa za kuimarisha nafasi ya beki wa kati, ingawa bado hakuna mazungumzo yoyote kuhusu kumsajili Murillo kutoka Nottingham Forest, kwa mujibu wa Fabrizio Romano. akiangazia CaughtOffside pekee kwa safu yake ya hivi punde ya Daily Briefing, Romano alijibu Murillo wa hivi majuzi wa viungo wa Chelsea ambao wameibuka, akipuuza wazo kwamba kulikuwa... Read More
Iran imesema shambulio lake la kombora dhidi ya Israel limemalizika na halitafanywa upya isipokuwa Tehran italazimika kuchukua hatua tena huku kukiwa na hofu ya kuongezeka kwa mzozo wa kikanda. Tehran tarehe 1 Oktoba ilianzisha shambulio kubwa la kombora la balistiki dhidi ya Israel, ambalo ndilo kubwa kuliko yote kufikia sasa, ili kulipiza kisasi kampeni iliyoanzishwa... Read More
* Awataka Wananchi Kulinda Miundombinu ya Shule kuleta Maendeleo Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amewataka wazazi na walezi nchini kutumia fursa ya miundombinu ya shule inayojengwa kwa ushirikiano wa Serikali na wafadhili kuwasomesha Watoto na hatimaye kuchochea maendeleo. Dkt. Biteko amesema hayo wakati akizindua miundombinu ya Shule ya... Read More