Chad siku ya Jumanne iliitaka jumuiya ya kimataifa kuunga mkono juhudi za kukabiliana na ugaidi katika eneo la Sahel, baada ya wanajihadi wa Boko Haram kuwaua takriban wanajeshi 40 wa Chad katika shambulio la kushtukiza. Kundi la wanajihadi jana Jumapili lililenga ngome ya kijeshi katika eneo la Ziwa Chad, eneo linalokumbwa na makundi mbalimbali ya... Read More