Na Sophia Kingimali Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu nchini (HESLB) imetangaza orodha ya awamu ya kwanza ya wanafunzi watakaonufaika na mikopo kwa mwaka wa masomo wa 2024/2025, ambapo imeongezeka kwa asilimia 5. Aidha, vyuo ambavyo bado havijawasilisha matokeo ya wanafunzi wanaoendelea na masomo vimetakiwa kufanya hivyo haraka ili malipo yao yaandaliwe... Read More
MKUU wa Mkoa wa Arusha Mhe.Paul Makonda,akizungumza na wananchi wakati mara baada ya kumkabidhi Mkandarasi tenda atakayetekeleza mradi wa kusambaza umeme katika vitongoji vya mkoa wa Arusha MKUU wa Mkoa wa Arusha Mhe.Paul Makonda,akizungumza na wananchi wakati mara baada ya kumkabidhi Mkandarasi tenda atakayetekeleza mradi wa kusambaza umeme katika vitongoji vya mkoa wa Arusha SEHEMU... Read More
Maelfu ya wananchi kutoka mkoa wa Ruvuma na maeneo yake wametokelezea kwa wingi, wakiwa na hamasa na furaha tele, kumshuhudia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan, akihutubia katika mkutano mkubwa uliofanyika Uwanja wa Majimaji mjini Songea tarehe 28 Septemba 2024. Mkutano huu unahitimisha ziara... Read More
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akipata maelezo kutoka kwa Mwanafunzi wa Kidatu cha Sita wa Skuli ya Sekondari ya Ben Bella.Aisha Hamad Bakari,wakati akitembelea maonesho ya Wanafunzi, wakati wa hafla ya Mahafali ya Tatu ya Wanafunzi... Read More
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan,akizungumza wakati akihutubia wananchi katika mkutano wa hadhara wa kuhitimisha ziara yake mkoani Ruvuma, uliofanyika leo Septemba 28,2024 katika Uwanja wa Majimaji mjini Songea. …. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ameitaka Wizara ya Kilimo, kuanzia msimu ujao wa... Read More
Na Ashrack Miraji (Fullshangwe Media) Kilimanjaro SERIKALI kupitia Wizara ya Mambo ya ndani ya Nchi ipo mbioni kuanza ujenzi wa vituo vya dharura vya zimamoto katika Wilaya ya Same mkoani Kilimanjaro kwa lengo la kukabiliana na majanga ya Moto yanapotokea. Hayo yamebainishwa na Naibu Kamishna wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Goodluck Zelote, ambaye pia... Read More
Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba Madelu (Mb), akipokea Taarifa ya Tathmini ya Utendaji Kazi ya Mamlaka ya Udhibiti wa Ununuzi wa Umma (PPRA), kwa mwaka wa fedha 2023/2024, kutoka kwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya PPRA, Dkt. Leonada Mwagike, katika Ofisi Ndogo za Wizara ya Fedha Jijini Dar es Salaam, 28... Read More
Na Fauzia Mussa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar imezindua vitalu viwili vipya vya uwekezaji wa mafuta na gesi asilia katika maeneo ya nchi kavu, hatua inayolenga kuimarisha sekta ya nishati nchini. Akizungumza na waandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbali katika hafla iliyofanyika hoteli ya Verde, Waziri wa Uchumi wa Buluu na Uvuvi, Shaaban Ali Othman, alisema... Read More