Baraza la seneti la Kenya tarehe 17 Oktoba lilipiga kura na kupitisha kumwondoa madarakani naibu rais Rigathi Gachagua. Maseneta 67 walipiga kura juu ya tuhuma 11 dhidi ya naibu rais Gachagua. Kama idadi ya kura za ndiyo kwa tuhuma yoyote ikizidi theluthi mbili, itapitishwa. Kuna kura 53 za ndiyo kwenye shutuma ya kwanza, idadi... Read More