Ashrack Miraji Fullshagwe Media Katika kutambua umuhimu wa haki za binadamu na utawala bora, Viongozi na watendaji wa serikali za mitaa wilaya ya Same wamepewa mafunzo maalum ya kuwajengea uwezo ili kuhakikisha wanaimarisha uwajibikaji, usawa na utawala wa sheria na haki katika jamii. Akizungumza wakati wa ufungunzi wa mafunzo elimu ya Uraia na Utawala... Read More
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amesema kuwa Tuzo Maalum ya Kimataifa ya The Global Goalkeeper Award inathibitisha kuwa dunia imetambua juhudi za Tanzania katika kuboresha huduma za afya, hususan kupunguza vifo vya akina mama wajawazito na watoto chini ya miaka mitano. Rais... Read More
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amewasili na kupokelewa na Viongozi mbalimbali pamoja na wananchi kwenye uwanja wa ndege wa Dodoma akiwa na Tuzo Maalum ya Kimataifa ya The Global Goalkeeper Award. Tuzo hiyo hutolewa kwa viongozi waliowezesha nchi zao kuharakisha maendeleo kuelekea kufikia malengo ya maendeleo endelevu. Mhe.... Read More
Shirika la The Foundation For Civil Society FCS limetia saini makubaliano ya ubia kati yake na Shirika la Viwanda Vidogo (SIDO) kutekeleza mradi wa miaka mitatu wa kuwawezesha kiuchumi makundi maalum ya wanawake, Vijana watu wenye Ulemavu. Akizungumza katika hafla fupi yakutia saini makubaliano hayo, Mkurugenzi Mtendaji wa FCS Justice Rutenge amesema kuwa Mkataba huo... Read More
-Yakaribia 60% ya lengo ukusanyaji maduhuli kwa mwaka 2024/2025 -Yaita wawekezaji wakubwa kuwekeza Sekta ya Madini MAKUSANYO ya maduhuli ya Serikali kupitia Sekta ya Madini katika Mkoa wa Iringa yatokanayo na mrahaba, tozo na ada mbalimbali kwa mwaka wa fedha 2024/2025 yamefikia shilingi milioni 698.05 ikiwa ni asilimia 58.2 ya lengo walilowekewa. Akizungumza katika mahojiano... Read More
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amesema kuwa Tuzo Maalum ya Kimataifa ya The Global Goalkeeper Award inathibitisha kuwa dunia imetambua juhudi za Tanzania katika kuboresha huduma za afya, hususan kupunguza vifo vya akina mama wajawazito na watoto chini ya miaka mitano. Rais... Read More
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko ameeleza kutoridhishwa kwake na Kituo cha Huduma kwa wateja cha Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) na kusema huduma duni zinasababisha malalamiko kutoka kwa wateja. Dkt. Biteko amesema hayo leo wakati wa Kikao cha Tatu cha Tathmini ya Utendaji Kazi wa Taasisi zilizo chini ya... Read More
Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Jerry Silaa (Mb), akizungumza wakati wa uzinduzi wa Bodi mpya ya Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (UCSAF) uliofanyika leo tarehe 4 Februari, 2025 jijini Dodoma. …… Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Jerry Silaa (Mb), ameiagiza Bodi mpya ya Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (UCSAF)... Read More
Meneja wa EWURA Kanda ya Magharibi, Mhandisi Walter Christopher akizungumza wakati akifungua mafunzo kwa Wataalam wa Kufunga Mifumo ya Umeme Mkoa wa Shinyanga kwa ajili ya kuwajengea uwezo kusaidia kuboresha ufanyaji kazi wao Na Kadama Malunde – Malunde 1 Blog Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) Mkoa wa Shinyanga kwa kushirikiana na Mamlaka ya Udhibiti wa... Read More