Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Daniel Mushi, leo tarehe 1 Julai 2025, amekutana na uongozi mpya wa Wamiliki wa Shule na Vyuo Binafsi Tanzania (TAMONGSCO), katika ofisi za Wizara hiyo jijini Dodoma. Uongozi huo umefika kujitambulisha rasmi baada ya kuchaguliwa upya, na pia kuonesha dhamira ya kushirikiana na Serikali... Read More