Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Shilole alichapisha picha akiwa katika mjongeo wa kimahaba na mpenzi wake, akiambatanisha na ujumbe mzito wa upendo na shukrani uliogusa wengi wa mashabiki wake. Read More
DAR ES SALAAM:MSANII wa muziki wa Singeli na Bongo Fleva, Dulla Makabila, amesema ameandika historia mpya katika kazi yake ya muziki baada ya kutumia kiasi cha Sh milioni 20 kwa ajili ya kutengeneza video ya wimbo mmoja. Kupitia ukurasa wake wa Instagram, msanii huyo amesema hiyo ni mara ya kwanza kwake kutumia bajeti kubwa kiasi... Read More
DAR ES SALAAM:MSANII maarufu wa muziki wa Singeli, Dogo Paten, ameomba msamaha kwa mtu yeyote aliyemkosea kwa namna yoyote ile, huku akihimiza amani na upendo kuelekea mwishoni mwa mwaka. Kupitia ukurasa wake wa Instagram, msanii huyo amesema kuwa kama binadamu si mkamilifu na huenda kwa makusudi au bila kukusudia aliwakwaza watu katika kipindi cha mwaka... Read More
DAR ES SALAAM:MSANII wa filamu na muziki wa Bongo Fleva, Irene Uwoya, ameomba msamaha kwa Mungu baada ya kukiri kukosea katika mawazo, maneno na matendo yake. Kupitia ukurasa wake wa Instagram, muigizaji huyo maarufu nchini Tanzania alichapisha ujumbe wenye kuonesha unyenyekevu na majuto makubwa akisema: “Mungu naomba unisamehe (GOD please forgive me)… nimekosa sana kwa... Read More
DAR ES SALAAM: MSANII wa muziki wa Bongo Fleva, Rajab Abdul maarufu Harmonize, na mpenzi wake Frida Kajala, wamezua gumzo kubwa baada ya kurudiana tena na kuvishana pete ya uchumba kwa mara ya pili, hatua iliyorejesha matumaini mapya kwa mashabiki wao. Harmonize na Kajala waliwahi kuvishana pete ya uchumba mwaka 2022, lakini kabla ya kufikia... Read More
DAR ES SALAAM:MKE wa msanii wa Hip Hop Joseph Haule maarufu kama Professor Jay, anayefahamika kwa jina la Mama Lisa, amempongeza mume wake kwa kutimiza umri wa miaka 50, akieleza upendo wake mkubwa, shukrani na imani yake kwa Mungu. Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Mama Lisa aliandika ujumbe maalumu wa kumtakia heri ya siku ya... Read More
KLABU ya Simba imemtangaza rasmi Sibusiso Makhula kuwa kocha mpya wa viungo wa kikosi cha timu hiyo, hatua inayolenga kuimarisha zaidi maandalizi ya wachezaji kimwili kuelekea mashindano mbalimbali ya ndani na kimataifa. Makhula, ambaye ni raia wa Afrika Kusini, anajiunga na Simba akiwa na uzoefu wa kutosha katika masuala ya mazoezi ya viungo na maandalizi... Read More
MTENDAJI Mkuu wa Klabu ya Simba, Zubeda Sakuru, amefanya kikao kizito na Kocha Mkuu Steve Barker mara baada ya kocha huyo kuwasili nchini kuanza rasmi majukumu ya kukinoa kikosi cha wekundu wa Msimbazi. Kikao hicho kilifanyika ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya haraka kuhakikisha timu inaanza safari mpya kwa malengo yaliyowekwa. Katika kikao hicho, Zubeda... Read More
Anza kutengeneza pesa zako na wakali wa ubashiri Tanzania yaani Meridinabet kwani ODDS za kibabe zipo kwenye michuano hii mikubwa ya AFCON. Ingia kwenye akaunti yako na ubeti sasa. Tengeneza pesa mechi za AFCON ambapo Tanzania atakuwa kibaruani dhidi ya Tunisia ambapo kila timu inahitaji ushindi kwenye mechi hii leo. Meridianbet imeipa mechi hii ODDS KUBWA na machaguo... Read More