0 Comment
KATIKA kambi ya mazoezi ya Yanga yanayoendelea kwa sasa pale KMC Complex, Dar es Salaam ikijiandaa na msimu mpya wa mashindano kuna balaa la mastaa wapya wa timu hiyo lakini gumzo ni Moussa Bala Conte na AbdulNasir Mohammed ‘Casemiro’. Yanga inajifua karibu wiki sasa kwenye uwanja huo uliopo eneo la Mwenge ambapo kivutio kikubwa ni... Read More



