LONDON: KIUNGO wa kati wa zamani wa Arsenal Thomas Partey, anayekabiliwa na mashtaka matano ya ubakaji nchini Uingereza, Jana alikamilisha uhamisho wa kujiunga na klabu ya Uhispania ya Villarreal. Mchezaji huyo wa kimataifa wa Ghana mwenye umri wa miaka 32, ambaye anakanusha madai hayo, alipewa dhamana ya masharti Agosti 5 baada ya kufika katika mahakama... Read More
NAIROBI: MWANARIADHA wa Kenya Faith Kipyegon amesema anaamini kuwa atavunja rekodi ya dakika nne katika mbio zijazo ndiyo maana anaendelee na mafunzo makali. Mkenya huyo alishindwa katika jaribio lake lililopangwa maalum mwezi Juni na kuwa mwanamke wa kwanza kupenya kizuizi cha dakika nne, akitumia dakika 4 na sekunde 06.42 katika jiji la Paris nchini Ufaransa.... Read More
Joseph Ngwem Joseph Ngwem miaka (34) Beki wa kimataifa wa Cameroon na mshindi wa Afcon mwaka 2017. Ni moja ya wachezaji ambao wapo katika kambi ya Simba Misiri na wanaendelea na Mazoezi . Ngwem ana muda kucheza nafasi ya beki wa kushoto lakini pia anachezea nafasi ya beki wa kulia na beki wa kati (4,5).... Read More
JuziJumatano ilikuwa siku ya furaha sana hapa kijiweni kwetu baada ya kusikia na kuona taarifa za nahodha wa Taifa Stars 🇹🇿 Mbwana Samatta kujiunga na Le Havre inayoshiriki Ligi Kuu ya Ufaransa. . Sababu kubwa ya furaha yetu ni kwamba Samagol a.k.a Popa alishaonekana kama maji ya jioni na haikutegemewa kama angeweza kurudi katika Ligi... Read More
Klabu ya Simbasc bado inaendelea kusaka mlinzi wa kushoto mwenye daraja la Mohamed Hussen ambaye atakuja kuziba nafasi hiyo Mpaka sasa Simbasc tayari imepokea walinzi wawili wa kushoto ambao wanaendelea kuwafanyia majaribio kama wanaweza kukidhi mahitaji ambayo wanayahitaji Tayari kwenye kambi yao nchini Misri yupo mlinzi wa kushoto kutoka Cameroon Jonathan Ngwem ambaye... Read More
WINGA, Offen Chikola, amesema kwake itakuwa rahisi kujitangaza na kupata soko la kucheza la kulipwa nje ya Tanzania baada ya kujiunga na Yanga. Yanga juzi ilitangaza kukamilisha usajili wa Winga huyo wa zamani wa Tabora United. Akizungumza jana jijini Dar es Salaam, Chikola, alisema hata alipopigiwa simu kwa mara ya kwanza na Rais wa Yanga,... Read More
BODI ya Ligi Tanzania imetangaza mechi za timu nne za juu, Yanga, Simba, Azam na Singida Black Stars, ambazo zitapambana kuwania Ngao ya Jamii, kuanzia Septemba 11 hadi 14 mwaka huu. Mabingwa wa Tanzania Bara na washindi wa Ngao ya Jamii msimu uliopita, Yanga, itakwaana na Azam FC, huku Simba ikiikabili Singida Black Stars. Taarifa... Read More
Jicho la kiungo mkabaji wa kikosi cha timu ya Taifa Tanzania ‘Taifa Stars’ Ahmed Bakari ‘Pipino’ @_ahmed_pipino limevimba baada ya kupigwa kiwiko katika mchezo wa jana wa Stars dhidi ya Mauritania. Pipino alipata jeraha hilo lililomfanya ashindwe kuendelea na mchezo huo na akatolewa na nafasi yake akaingia kiungo mwingine Shekhan Khamis. Katika mchezo huo uliochezwa Uwanja wa... Read More