0 Comment
Leo nna mzuka tu kuharibu biashara za watu , Anyway ipo hivi 1.Feisal ndiye kiungo bora kwa sasa Nchini hapo tukubaliane hakuna kabisa ubishi 2.Kuelekea msimu wa 2025/26 Feisal anastahili kuwa mchezaji anayelipwa pesa ndefu nchini , hapo pia hakuna ubishi 3.Watu wapo nje ya muda , Idara ya Habari imeambiwa iandae kabisa graphics za... Read More











