0 Comment
Mkuu wa Mkoa Morogoro Adam Malima amewataka wananchi kuendelea kuchangamkia fursa za huduma ya madaktari bingwa katika Maeneo Yao maarufu kama Madaktari bingwa wa mama Samia Kwa kupata huduma za bora za matibabu . Rc Malima ameyasema hayo Mji Morogoro wakati wa kupokea madaktari bingwa 49 ambao wamegawanywa kwenye Halmashauri tisa za mkoa huo ambapo... Read More