Naibu Spika wa Bunge Mussa Azzan Zungu leo ameadhimisha Siku ya Wakulima wa miwa Bonde la Kilombero kwa kuwataka wakulima na wadau wa sekta ya sukari kuwekeza katika teknolojia ya kisasa na ubunifu. Read More
Wasichana ishirini kutoka Vituo vya kulea Watoto Yatima wamepata fursa ya kutembelea Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere na kujifunza mambo mbalimbali yanayohusu usafiri wa anga Read More
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango na Mwenza wake Mama Mbonimpaye Mpango wameshiriki zoezi la Uandikishaji kwenye Daftari la Wapiga kura kwaajili ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa katika Kitongoji cha Kihanga Kijiji cha Kasumo Wilaya ya Buhigwe Mkoani Kigoma. Tarehe 12 Oktoba 2024. ………. Makamu wa Rais... Read More
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati Dkt. James Mataragio amewakaribisha wawekezaji kuingia ubia na Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) kwa ajili ya utafutaji wa mafuta na gesi asilia nchini. Read More
Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Mhe. Peter Serukamba ameipongeza na kuishukuru Serikali ya Awamu ya Sita, inayoongozwa na Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kutoa shilingi bilioni 20 kwa ajili ya kuanza rasmi utekelezaji wa Awamu ya Pili ya Mradi wa Kusambaza Umeme kwenye Vitongoji (HAMLET ELECTRIFICATION PROJECT II) kwenye vitongoji 105 vya majimbo saba... Read More
Na Ashrack Miraji Lushoto Tanga MKUU wa Wilaya ya Lushoto mkoani Tanga Zephania Sumaye amesema zoezi la undikishaji wananchi kwenye daftari la mkazi linaendelea vizuri, wananchi wamehamasika vituo vingi wameshajiandikisha na bado wanaendelea kujiandikisha. DC Sumaye amezungumza hayo Oktoba 11 mwaka huu 2024 mara baada ya kujiandikisha katika daftari la mkazi kwenye Kituo Cha Chake... Read More
Na Mwandishi wetu- Iringa Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Mhe. Peter Serukamba ameipongeza na kuishukuru Serikali ya Awamu ya Sita, inayoongozwa na Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kutoa shilingi bilioni 20 kwa ajili ya kuanza rasmi utekelezaji wa Awamu ya Pili ya Mradi wa Kusambaza Umeme kwenye Vitongoji (HAMLET ELECTRIFICATION PROJECT II) kwenye vitongoji... Read More