0 Comment
Maziko ya pamoja ya waathirika wa tukio la kulipuka kwa lori la mafuta yamefanyika kwenye jimbo la Jigawa nchini Nigeria. Idadi ya vifo vilivyotokana na mlipuko huo, kwa sasa imeongezeka na kufikia 147, wengi wa waathirika wakiwa ni watoto, idara ya huduma za dharura ilisema siku ya Jumatano. Tukio hilo lilitokea usiku kaskazini mwa jimbo... Read More