Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi amesema Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar inajipanga kujenga uwanja mkubwa wa michezo utakaokuwa na vigezo vinavyokubalika na Shirikisho la Soka Duniani FIFA pamoja na Shirikisho la Soka Barani Afrika CAF. Rais Dk.Mwinyi ameyasema hayo leo tarehe 25 Septemba 2024 Ikulu, Zanzibar alipokutana na... Read More
Nyota wa kiungo wa Real Madrid, Luka Modric alikataa kutoa jibu wazi kuhusu uwepo wake kwenye Kombe la Dunia la 2026. Nyota huyo wa Croatia alisema: “Kombe la Dunia la 2026 bado liko mbali. Katika umri wangu, ni ngumu kupanga siku zijazo za mbali. Siwezi kuthibitisha chochote na ni lazima nisikilize mwili wangu na kuona... Read More