Waziri wa Madini, Mh.Anthony Mavunde (Mb) amesimamisha shughuli za uchimbaji zilizokuwa zikifanywa na kampuni ya G & I Tech Mining Company Ltd kwa kipindi hichi cha masika mpaka pale tathmini ya mazingira itapokamilika. Read More
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa (Mb), akiweka jiwe la Msingi la Ujenzi wa Daraja la Sukuma lenye urefu wa Mita 100 pamoja na barabara unganishi zenye urefu wa kilometa 2.3 leo tarehe 20 Desemba 2024. Kushoto ni Naibu Waziri wa Ujenzi Mhandisi Godfrey Kasekenya (Mb) na viongozi wengine wa Chama na Serikali wakishuhudia zoezi hilo. Naibu... Read More
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akipewa maelezo na Mthibiti Ubora wa Kiwanda cha Uzalishaji dawa za Binadamu cha CURE AFYA, Kareem Mruthu, alipotembelea kiwanda hicho kilichopo Kimbiji, Wilaya ya Kigamboni Dar es Salaam. Read More
Timu ya Serikali ya Majadiliano ya Mradi wa Kuchakata na Kusindika Gesi Asilia (Government Negotiation Team – GNT-LNG) ipo katika ziara nchini Indonesia. Read More