Serikali za Tanzania na Misri kukuza ushirikiano wa kiuchumi kwa kuimarisha sekta ya usafirishaji, nishati, ujenzi wa miundombinu, uchukuzi, biashara na uwekezaji, kilimo, mifugo na uvuvi. Read More
Serikali ya Tanzania kupitia Wizara ya Mifugo na Uvuvi itaanza Mpango wa Utoaji wa Chanjo na utambuzi wa Mifugo Kitaifa kuanzia Mwezi Januari 2025. Read More
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi akisaini hati ya makubaliano ya Mpango wa Maboresho ya Utoaji wa Huduma Bandari ya Zanzibar (Zanzibar Port Improvement) hafla hiyo iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar leo 22-11-2024. Read More