Baraza la Mitihani la Tanzania (Necta) limetangaza matokeo ya upimaji wa kitaifa wa kidato cha nne na kusema ufaulu umeongezeka kwa asiliimia 3 na kufikia asilimia 92.37 ukilinganisha na ufaulu uliosajiliwa mwaka 2023.
Watahiniwa 477,262 kati ya watahiniwa 516,695 wamefaulu kwa madaraja la I, II III, na IV ambapo waliopata daraja la I had la III pia wameongezeka, Dk Said Mohammed, Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani la Tanzania (Necta) amewaambia wanahabari.
TAZAMA ZAIDI….
The post NECTA yatangaza matokeo ya kidato cha nne 2024 first appeared on Millard Ayo.