Madiwani wa baraza la Halmashauri katika jiji la Arusha wamemtaka Mkuu wa Mkoa wa Arusha Paul Makonda kugombea ubunge katika Jimbo la Arusha mjini kwenye uchaguzi Mkuu unaotarajia kufanyika October mwaka huu 2025
Madiwani hao akiwemo Naibu Meya wa jiji la Arusha Abraham Mollel wamesema kuwa kwa namna anavyogusa watu muda ukifika anatakiwa achukue fomu
“Tunakaa na watu wanasema kwa namna unavyogusa watu,sisi tunakaa na wananchi na wanazungumza mengi dhidi yako ikikupendeza vuta fomu,tuko nyuma yako chukua haya maneno endelea kutafakari wewe ni muombaji”-Abraham Mollel- Naibu Meya jiji la Arusha
The post Madiwani Arusha wamtaka makonda agombee ubunge, wamvaa Gambo, “anatukwamisha” first appeared on Millard Ayo.