
Mchezo wa Ligi Kuu ya NBC kati ya wenyeji Yanga dhidi ya Simba umeahirishwa na Bodi ya Ligi Kuu ya Tanzania ili kutoa nafasi ya kupata taarifa zaidi zitakazosaidia kufanya maamuzi ya haki.
Aidha , Bodi itatoa taarifa kamili kuhusiana na tukio hilo na kutangaza tarehe ya mchezo huo mapema iwezekanavyo.