Fundi kutoka Kampuni ya Mkandarasi MEGHA Engineering & Infranstructures Limited (MEIL) kutoka nchini India akisuka nondo wakati wa ujenzi wa tanki la kuvunia maji la lita laki tano (500,000) kwenye Mradi wa Maji wa Miji 28 unaotekelezwa na Wizara ya Maji eneo la Chamwino jijini Dodoma leo Machi 25, 2025 ambao Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dodoma ni wanufaika wa mradi huo ambapo mpaka sasa umefikia asilimia 50 ya utekelezaji wake.
Fundi kutoka Kampuni ya Mkandarasi MEGHA Engineering & Infranstructures Limited (MEIL) kutoka nchini India akifanya vipimo wakati ujenzi wa kituo cha kusukumia maji kwenye Mradi wa Maji wa Miji 28 unaotekelezwa na Wizara ya Maji eneo la Chamwino jijini Dodoma leo Machi 25, 2025 ambao Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dodoma ni wanufaika wa mradi huo ambapo mpaka sasa umefikia asilimia 50 ya utekelezaji wake.
Mafundi kutoka Kampuni ya Mkandarasi MEGHA Engineering & Infranstructures Limited (MEIL) kutoka nchini India wakiendelea na ujenzi wa tanki la juu lenye ujazo wa lita laki mbili (200,000) katika kijiji cha Msanga kwenye Mradi wa Maji wa Miji 28 unaotekelezwa na Wizara ya Maji Chamwino jijini Dodoma leo Machi 25, 2025 ambao Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dodoma ni wanufaika wa mradi huo ambapo mpaka sasa umefikia asilimia 50 ya utekelezaji wake.
Fundi kutoka Kampuni ya Mkandarasi MEGHA Engineering & Infranstructures Limited (MEIL) kutoka nchini India akiendelea na ujenzi wa tanki la juu lenye ujazo wa lita laki mbili (200,000) katika kijiji cha Msanga kwenye Mradi wa Maji wa Miji 28 unaotekelezwa na Wizara ya Maji Chamwino jijini Dodoma leo Machi 25, 2025 ambao Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dodoma ni wanufaika wa mradi huo ambapo mpaka sasa umefikia asilimia 50 ya utekelezaji wake.