Ibada ya kuaga mwili wa aliyekuwa Makamu wa Kwanza wa Rais na Waziri Mkuu Mstaafu, Hayati Cleopa David Msuya, ikiendelea katika Uwanja wa Chuo cha Ufundi Stadi Usangi (UVTC), eneo la Mombasa Store, Usangi, Wilaya ya Mwanga, mkoani Kilimanjaro, leo Mei 12, 2025.