Mwanasheria Mkuu wa Serikali Mhe. Hamza S. Johari akisaini kitabu cha maombolezo ya aliyekuwa Makamu wa Kwanza wa Rais na Waziri Mkuu Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Hayati Mhe. Cleopa David Msuya, tarehe 13 Mei, 2025 Bungeni Jijini Dodoma.
Hayati Cleopa David Msuya anazikwa nyumbani kwake Kijijini Chomvu, Usangi Wilayani Mwanga Mkoani Kilimanjaro leo tarehe 13 Mei, 2025.