Makamu Mkuu wa Chuo cha MUHAS, Prof. Appolinary Kamuhabwa akifanya mazoezi wakati alipotembelea kituo cha mazoezi katika uzinduzi kambi ya siku mbili ya uchunguzi wa afya ya moyo iliyofanyika Mei 21, 2025, Dar es Salaam katika Kampasi ya Mloganzila,
Mteknolojia wa Maabara kutoka MUHAS Joseph Temba (wa kwanza kulia) akitoa ufafanuzi kwa Makamu Mkuu wa Chuo cha MUHAS, Prof. Appolinary Kamuhabwa wakati alipotembelea kituo cha mazoezi cha chuo hicho kilichopo katikaa Kampasi ya Mloganzila.
Mhadhiri wa Chuo Kikuu MUHAS Irene Mzokolo (wa kwanza kulia) akitoa ufafanuzi kwa Makamu Mkuu wa Chuo cha MUHAS, Prof. Appolinary Kamuhabwa wakati alipotembelea kituo cha mazoezi kilichopo Kampasi ya Mloganzila.
Baadhi ya vifaa vya mazoezi vilivyopo katika Kituo cha mazoezi, Kampasi ya Mloganzila.