Watanzania mbalimbali waishio nchini Nigeria wakimpokea Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango wakati alipowasili Abuja nchini Nigeria kumwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Mkutano wa 32 wa Benki ya Afrexim utaokaofanyika tarehe 25-27 Juni 2025.