Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Vunjo Mhe Dkt Charles Stephen Kimei amechukua fomu ya kuwania ubunge awamu ya pili katika jimbo hilo zilizotolewa ofisi za Chama Cha Mapinduzi Moshi Vijijni.