28/06/2025 0 Comment 89 Views WAZIRI PROF. MKENDA ACHUKUA FOMU YA UBUNGE JIMBO LA ROMBO by 4dmin WAZIRI wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda amechukua fomu ya kuwania ubunge wa Jimbo la Rombo kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM). Fomu hiyo amekabidhiwa na Katibu wa CCM Wilaya ya Rombo, Massoud MeliMeli PIGABET YAWAZAWADIA WASHINDI KUPITIA KAMPENI ZA KILA WIKI BALOZI WA INDONESIA NCHINI AFURAHISHWA NA KAZI ZA DIB WAZIRI wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda amechukua fomu ya kuwania ubunge wa Jimbo la Rombo kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM). Fomu hiyo amekabidhiwa na Katibu wa CCM Wilaya ya Rombo, Massoud MeliMeli SHARE Matukio Habari