Washindi wa jumla wa maonyesho ya 49 ya Biashara ya Kimataifa kampuni ya GF Trucks & Equipment’s ltd imesherehekea ushindi huo kwa staili ya aina yake kwa kujumuisha Wadau na wafanyakazi wa kampuni hiyo pamoja na wateja katika viwanja vya sabasaba jijini Dar es salaam
Kufuatia ushindi wa jumla uongozi wa kampuni hiyo uliwajumuisha pamoja wafanyakazi wa kiwandani na wateja wao ambao ndio nguzo yao katika kuelekea mafanikio
Akizungumza wakati wa sherehe hiyo mwenyekiti wa bodi ya wakurugezi ya kampuni ya GF, Mehboob Karmali alisema mafanikio hayo yametokana na mazingira mazuri ya serikali kwa wawekezaji na wao kama uongozi wametengeneza Utatu (3) Uongozi ,wafanyakazi na serikali huu utatu ndio siri ya mafanikio yetu
Pia alisema GF inauza magari aina zoote kuanzia madogo hadi makubwa akwa ajili yaa shughuli za migodini na kilimo.
Brand ya FAW ,XCMG,Mahndra na Hyundai ni miongoni mwa magari na mitaambo inayopatikana akatika akampuni hiyo na chakujivunia magari hayo yanaunganishwa katika akiwanda cha GF Vehicle Assemblers (GFA) kilichopo Kibaha mkoani Pwani
Nae Meneja wa kiwanda hicho , Ezra Mereng aliupongeza uongozi mzima wa kampuni hiyo,wafanyakazin kaampuni hiyo mkwa jitihada za dhati kuhakikisha awanaapambanaa na kuuza bidhaa kutoka anyumbani pia kutokana na auongozi imara na na serikali kuweka amazingira amazuri kwa wawekezaji katika sekta aya magari basi tutarajie maakubwa
Kampuni ya GF Trucks ni kampuni ya kizalendo inayomilikiwa na watanzania na na inajihusisha na uuzaji wa magari na mitambo ya kutengenezea barabara.
Mwenyekiti wa bodi ya wakurugeni ya kamapuni ya GF Trucks , Mehboob Karmali (katikati)akifurahi kwa pamoja na wafanyakazi wa kampuni hiyo pamoja na viongozi wakati wa ahafla ya kusherehekea ushindi wa ajumla wa amaonyesho ya sabasa 2025