
Jumla ya nafasi mia tano ishirini na sita (526) zinapatikana kama zilivyoainishwa katika tangazo hili.
Waombaji wote wanapaswa kuwa na sifa zinazokidhi vigezo vilivyobainishwa kwa kila nafasi husika, na wawe tayari kufanya kazi kwa bidii, uadilifu na kwa kuzingatia maadili ya Utumishi wa Umma.
Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma, kwa niaba ya taasisi zifuatazo:
Chuo cha Usimamizi wa Wanyamapori Afrika – Mweka (CAWM)
Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH)
Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA)
Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC)
Taasisi ya Mipango ya Maendeleo ya Vijijini (IRDP)
Kituo cha Teknolojia ya Magari Tanzania (TATC)
Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima (IAE)
Bodi ya Huduma za Maktaba Tanzania (TLSB)
Taasisi ya Teknolojia Dar es Salaam (DIT)
Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA)
Taasisi ya Elimu Tanzania (TIE)
BONYEZA HAPA >>>NAFASI ZA KAZI TAASISI MBALIMBALI ZA UMMA