Nilikuwa mlevi sugu. Sina aibu kusema hivyo kwa sababu nimebadilika kabisa sasa. Kwa miaka mingi, pombe ilikuwa kila kitu kwangu. Nilikuwa naweza kuamka asubuhi na kupiga bia au konyagi kabla hata sijapiga mswaki. Marafiki walinipenda kwa sababu nilikuwa wa kujirusha, mwenye tabasamu, na mwenye kuwalipia pombe bila kujali. Lakini nyuma ya tabasamu hilo kulikuwa na…… SOMA ZAID