
Klabu ya Simba imemsajili Morice Abraham kwa mkataba wa miaka miwili akitokea Spartak Subotica ya Serbia.
Morice alikuwa nahodha wa timu ya vijana ya Tanzania chini ya umri wa miaka 17 (Serengeti Boys) iliyoshiriki mashindano ya AFCON mwaka 2019 yaliyofanyika Tanzania.