Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiangalia mabwawa ya kisasa ya ufungaji wa Samaki alipotembelea eneo la Wizara ya Mifugo na Uvuvi kwenye viwanja vya Maonesho ya Nanenane, Nzuguni, jijini Dodoma Agosti 03,2025 (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akipewa maelezo na Mkurugenzi wa Idara ya Zana za Kilimo na Uongezaji Thamani Anna Mwangamilo kuhusu zana za kisasa alipotembelea eneo la Wizara ya Kilimo kwenye viwanja vya Maonesho ya Nanenane, Nzuguni, jijini Dodoma Agosti 03,2025 (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akipewa maelezo na Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo, Bw. Gerald Mweli kuhusu zana za kisasa alipotembelea eneo la Wizara ya Kilimo kwenye viwanja vya Maonesho ya Nanenane, Nzuguni, jijini Dodoma Agosti 03,2025 (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akipewa maelezo na Mkurugenzi wa Mipango, Ushauri na Mahusiano ya Taasisi kutoka Benki ya Maendeleo ya Kilimo (TADB) Mkani Waziri kuhusu maeneo waliyoweza kutoa mikopo kwa wakulima, wakati wa maadhimisho ya siku ya ushirika ikiwa ni sehemu ya sharashamra za kuelekea maadhimisho ya maonesho ya sherehe za wakulima, wafugaji na wavuvi kwenye viwanja vya Maonesho ya Nanenane, Nzuguni, jijini Dodoma Agosti 03,2025 (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiangalia bidhaa ya tumbaku iliyotayari kuuzwa alipotembelea banda la chama cha ushirika cha Lake Tanganyika kwenye viwanja vya Maonesho ya Nanenane, Nzuguni, jijini Dodoma Agosti 03,2025 (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza wakati wa siku ya Ushirika ikiwa ni sehemu ya sharashamra za kuelekea maadhimisho ya maonesho ya sherehe za wakulima, wafugaji na wavuvi kwenye viwanja vya Maonesho ya Nanenane, Nzuguni, jijini Dodoma Agosti 03,2025 (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akikabidhiwa tuzo na Mwenyekiti wa Shirikisho la Vyama vya Ushirika Tito Haule ya kutambua mchango wake katika kuendeleza Ushirika nchini, wakati wa siku ya Ushirika ikiwa ni sehemu ya sharashamra za kuelekea maadhimisho ya maonesho ya sherehe za wakulima, wafugaji na wavuvi kwenye viwanja vya Maonesho ya Nanenane, Nzuguni, jijini Dodoma Agosti 03,2025 (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)