Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipokea Hati ya Utambulisho kutoka kwa Balozi Mteule wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Watu wa Algeria hapa nchini Mhe. Ghalib Zermane Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 06 Agosti, 2025.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi Mteule wa Jamhuri ya Sudan hapa nchini Mhe. Mohamed Abdalla Abdelhameed Ahmed mara baada ya kuwasili Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 06 Agosti, 2025.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipokea Hati ya Utambulisho kutoka kwa Balozi Mteule wa Uhispania Mhe. Paloma Serra Robles, Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 06 Agosti, 2025.