Sherehe ya uchumba katika familia ya kina Mwasaru iligeuka kuwa vurugu baada ya mama wa bwana harusi mtarajiwa kumtambua mgeni rasmi wa siku hiyo kama mtu aliyewahi kumwibia kodi ya nyumba miaka michache iliyopita. Tukio hilo lilitokea Jumamosi jioni nyumbani kwa familia hiyo, ambapo wageni walikuwa wamekusanyika kushuhudia tukio la furaha lililoishia kuwa fedheha kubwa.. …. SOMA ZAIDI