
Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi (MoCU) kinakaribisha maombi kutoka kwa Watanzania wenye sifa stahiki ili kuzingatiwa kwa ajira katika nafasi mbalimbali za kazi za kitaaluma zilizopo katika Kampasi Kuu iliyoko Moshi na Taasisi ya Ushirika na Elimu ya Biashara Kizumbi (KICoB) iliyoko Shinyanga.
TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI CHUO KIKUU CHA USHIRIKA MOSHI