Mgombea wa Kiti cha Rais kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama cha Tanzania Labour Party (TLP), Mhe. Yustas Mbatina Rwamugira.
Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Mahakama ya Rufaa Jacobs Mwambegele akizungumza wakati wa utoaji wa fomu. Kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa Tume, Mhe. Jaji wa Rufani (Mst) Mbarouk Salim Mbarouk na kulia ni Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume, Ndg. Ramdhani Kailima.
Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume, Ndg. Ramdhani Kailima akimwelekeza mgombea namna ya kujaza daftari.
Mgombea wa Kiti cha Rais kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama cha Tanzania Labour Party (TLP), Mhe. Yustas Mbatina Rwamugira akisaini fomu.
Mgombea Mwenza, Mhe. Amana Suleiman Mzee akisaini kitabu.
Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Mahakama ya Rufaa Jacobs Mwambegele akizungumza wakati wa utoaji wa fomu.